Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu akizungumza
na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya sukari Tanzania, Bw. Henry Semwaza (kushoto) wakati wa
mkutano wa siku moja wa wadau wa sukari nchini uliofanyika jana Mkoani Morogoro. Wengine
ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kulia) na Mtendaji
Mkuu wa Kiwanda cha sukari cha TPC Moshi, Bw. Robert Baissac.
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu (kushoto)
akibadilishana mawazo na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza
(katikati) muda mfupi mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa sukari uliofanyika jana
mkoani Morogoro. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha sukari cha TPC Moshi, Bw.
Robert Baissac.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI


.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...