Home
Unlabelled
MSIKILIZE RAIS WA WATANZANIA DMV IDD SANDALY ALIVYOONGEA NA WANADMV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nashukuru sana kwa maelezo yako Rais wa watanzania huku DMV Marekani. Nafikiri umefika muafaka wa kila mmoja kuwa na maandalizi ya matatizo makubwa kama vifo, magonjwa. Kubwa ni kuwa kila mtanzania ajiwekee ajira au ajiunge kwa PSPF kwa ajili ya huduma hiyo. Kila wakati of course tunasikia na kuona matatizo ya vifo na mnahitaji michango kusafirisha mwili nyumbani. Ni gharama sana kuchangusha michango mpaka mpaka hizo dollars. Jiandaeni kwa maisha ya baadae. Pia suala la kusaidia nyumbani hilo ni la muhimu sana hata ukisaidia $200 kwa kituo cha yatima au shule ni msaada mkubwa sana. Nyumbani watu wanajitahidi sana kusaidia huduma hizo, na sisi tulio huku mara nyingi ni kuponda maendeleo ya nyumbani na hakuna comments nzuri kwa baadhi ya watanzania, actually si wote. Kitu kibubwa ni kuungana kwa pamoja na kuwa watu positive kwa maendeleo ya nyumbani na sisi wenyewe ndio tutakaokuwa sababu ya maendeleo. Tunajua tuko huku kwa muda labda na baadae tutarudi nyumbani. Asante Rais wa watanzania kwa ujumbe muafaka wa maelezo yako.
ReplyDeleteKama Mtanzania mzalendo,Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki DMV na Mungu ibariki USA.
ReplyDeleteHMM THE BODY LANGUAGE THOUGH!!!!
ReplyDeleteKusaidia $200 kwa kituo cha yatima ni nzuri ila watu wengi waliopo nje tayari wana watu 100 au zaidi wanaowategemea angalau wawatumie kitu kidogo kuendelea na maisha. Kuwa saidia ndugu zako wa karibu ni baraka tele kuliko kuanza kwenda kwenye vituo vya yatima wakati wewe ndugu zako wana matatizo kuliko watoto ambao tayari wanasehemu ya kukaa na chakula tayari. Ila wenye uwezo ndugu zangu ni muhimu sana kusaidia vituo hivi.
ReplyDelete