Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. kweli mwanamke ni nguzo kuu ya uchumi ktk familia.
    Wakati huo huo ukiangalia hiyo picha utagundua kwamba upande wa mkono uliobeba pipa ndo wenye break, cpati picha kwenye mteremko inakuwaje!!!!??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si mchezo tusiwadharaau wanawake
      Wanaweza wakipewa nafasi

      Delete
  2. Where there is a will there is a way. Also showd how women can multitask. I am so proud of this lady. Even the Kimpumu/ Kangara that she is going to brew will be blessed and tasty.

    ReplyDelete
  3. lazima atakuwa ni mskuma

    ReplyDelete
  4. Manshallah
    One sure way of accelerating progress is by empowering the women.Wakipewa mitaji na usaidizi zaidi wa biashara na ulimaji wataiokoa nchi
    ibrahim

    ReplyDelete
  5. anasubiri faini ya traffic tu aombe asikutane nao, hata bila traffic tu ni hatari kwa usalama wake ubebaj wa namna hiyo much as it may seem its an empowerment

    ReplyDelete
  6. Hongera sana mama kwa kuchapa kazi.

    Laiti Watz tungekuwa na ujasiri wa kuchapa kazi katika design hii basi tungekuwa mmbali kweli kwa maendeleo.

    Mdau wa kwanza si ajabu hata hiyo baiskeli haina hizo brakes, lakini mama amejitahidi na anaonyesha ni mzoefu wa kuhimili majanga.

    ReplyDelete
  7. Wanawake wa aina hii wanatoka nyanda za juu kusini. Big up sana hawa wtu sio manyonyoro kama wale wa kuleee....!

    ReplyDelete
  8. Wanawake wa Kimujini Mujini mmeona hiyo?

    Mwenzenu huyo wa Kijijini niJasiri, anajituma anachapa Kazi kwa bidii zote hata muda wa kupaka Poda na kuosha Kucha hana!

    ReplyDelete
  9. Halafu huyu mke wangu nikimtuma maji jikoni wakati mimi niko sebuleni anasema amechoka na anahitaji kujikomboa sasa huyu mama mwenye pipa kichwani aseme nini?
    nimeowa kabila sio mwenzenu hebu mnijulishe huyu mama wa wapi?
    mdau.
    Dar.

    ReplyDelete
  10. The mdudu,mjomba tutafutie simu ya huyu mama tumpe tulicho nacho mm binafsi napenda sn akina MAMA kama hawa coz hawabweteki na kusubili waletewe so kumsaidia mama kama huyu kwangu very simple,sio kama wale wa pwani kutwa ndani kutandika vitanda huku wakisubili kuletewa.pongezi kwako mamaangu wa ukweli

    ReplyDelete
  11. Jamani hivi kwanini tunaendelea kusema "wakiwezeshwa" kwani wanawake wana kilema flani mpaka wawezeshwe. Wanawake Wanaweza ndio motto sio mpaka "wawezeshwe".

    ReplyDelete
  12. Mdau wa nne, hilo neno sio MANshallah, bali ni ' MASHA ALLAH' si vibaya kusahihishana inapolazim.

    Ila wadau watatu mliotangulia hapo juu nimefurahishwa na maoni yenu, Mdau wa kwanza toa khofu, hao watu huwa wana mbinu zao za kufunga breki, anaweza hata akatumia kisigino au si ajabu akaliachia hilo pipa 'hands free' aka-concentrate kwenye brake na huo mteremko. Ila nakhisi katika situation kama hiyo, yawezekana keshaplan route yake kuepuka milima na miteremko na akaendesha tambarare hadi mwisho wa kwenda kulituwa hilo pipa. Ila anastahili pongezi.

    ReplyDelete
  13. THE EASIER AND FASTER WAY TO SUPPORT THESE WOMEN IS TO SWITCH FROM BEER TO KANGARA, KIMPUMU, ULANZI, MBEGE, AND THE LIKE!

    ReplyDelete
  14. Ni nani kama MAMA?

    ReplyDelete
  15. Talking about a strong black woman.

    ReplyDelete
  16. Bwana HK
    Nakushukuru kwa kujaribu kinielimisha katika matumizi ya Manshallah na Masha Allah.
    In a way you are right, to an Arab speaker the correct phrase is Masha Allah, but to a Mswahili ua Somali the common expression is Manshallah, it may be wrong to an Arab speaker but the root remains visible. Nitakupa mifano. In English we say film, in Arabic we say aflam,sounds different but the root remains visible.Another example waswahili wengi katika kusema "salaam" dont say clearly the "lam" and so say as-samu aleykum. which actually means "death be upon you"
    Allah yebarik
    ibrahim

    ReplyDelete
  17. Mdau wa 17 Bw. Ibrahim. Ni busara ukakubali kukosolewa usilete nahau nyingi, hilo neno it doensn't matter kama utalitamka kiarabu, kisomali, kihabeshi, etc. Ukwli ni huo uliofahamishwa hakuna kherufi 'Nuun' hapo bali kuna ' Alif hamza' kama ilivyo in the Qur'an ( ما شاء الله ) hivyo unapolazimisha kuitamka au kuandika MANshallah unakosea, ispokuwa usahihi wake ni 'MASHA ALLAH' katu hakuna ninor or major amendments ya aina yeyote katika Qur'an tukufu. Ilivyoteremshwa ndio hivyo hivyo forever!

    ReplyDelete
  18. Mdau wa 17 Bw. Ibrahim. Ni busara ukakubali kukosolewa usilete nahau nyingi, hilo neno it doensn't matter kama utalitamka kiarabu, kisomali, kihabeshi, etc. Ukwli ni huo uliofahamishwa hakuna kherufi 'Nuun' hapo bali kuna ' Alif hamza' kama ilivyo in the Qur'an ( ما شاء الله ) hivyo unapolazimisha kuitamka au kuandika MANshallah unakosea, ispokuwa usahihi wake ni 'MASHA ALLAH' katu hakuna ninor or major amendments ya aina yeyote katika Qur'an tukufu. Ilivyoteremshwa ndio hivyo hivyo forever!

    ReplyDelete
  19. Mdau wa 17 Bw. Ibrahim. Ni busara ukakubali kukosolewa usilete nahau nyingi, hilo neno it doensn't matter kama utalitamka kiarabu, kisomali, kihabeshi, etc. Ukwli ni huo uliofahamishwa hakuna kherufi 'Nuun' hapo bali kuna ' Alif hamza' kama ilivyo in the Qur'an ( ما شاء الله ) hivyo unapolazimisha kuitamka au kuandika MANshallah unakosea, ispokuwa usahihi wake ni 'MASHA ALLAH' katu hakuna ninor or major amendments ya aina yeyote katika Qur'an tukufu. Ilivyoteremshwa ndio hivyo hivyo forever!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...