Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wafuasi wa chama hicho usiku huu,kwenye Ofisi za CCM mkoa,huku wakisubiri matokeo rasmi kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi muda wowote kuanzia sasa.

Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0
Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0
Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0
Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0
Zahanati CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1
Ifunda
Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0
Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1
Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0
Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0
Ikungwe A CCM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0
Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA 0
Magunga CCM 184 ,Chadema 4 CHAUSTA1
Wasa CCM 149,Chadema 15 CHAUSTA 0
wow! wow! wow! wow! ahsante Mungu
ReplyDeleteBaada ya matokeo ya chaguzi ndogo za madiwani na so far mwelekeo wa matokeo haya ya Kalenga Tunapata sura gani ya outcome ya uchaguzi mkuu wa 2015?
ReplyDeletePicha tunayoipata hapa kuelekea uchaguzi mkuu 2015 ni kuwa CCM watalemaa na kuona hawana upinzani,kumbe wembe utawanyowaaaaa.hahahaa
ReplyDeleteYetu macho,tanzania yetu.....basi mkichaguliwa mfanye mliyo promise Manake hali ni mbaya huko vijijini
ReplyDeleteHapo kwa uhambuzi wa kufuatilia trakimu zilizopo hapo ni kuwa Godfrey Mgimwandiye mshindi wa Kiti cha Ubunge!!!
ReplyDeleteHongera sana Mhe. G.Mgimwa !!!