Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wafuasi wa chama hicho usiku huu,kwenye Ofisi za CCM mkoa,huku wakisubiri matokeo rasmi kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi muda wowote kuanzia sasa.
TOSA no.1 
CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0
Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0
Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0

Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0
Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0
Zahanati  CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1
Ifunda
Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0
Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1
Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0

Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0
Ikungwe A CCM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0
Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA 0
Magunga CCM 184 ,Chadema 4 CHAUSTA1
Wasa CCM 149,Chadema 15 CHAUSTA 0
Usengelidete CCM 260,Chadema 46,CHAUSTA O
 KAMANDA WA UVCC MKOA WA IRINGA  SALIM ASAS AKICHEZA  KWA SHANGWE  VIWANJA  VYA CCM MKOA KUSHEREKEA  USHINDO  WA  CCM KALENGA

Matokeo ya Awali yasiyo rasmi baadhi ya vituo  inaongoza kwa mbali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wow! wow! wow! wow! ahsante Mungu

    ReplyDelete
  2. Baada ya matokeo ya chaguzi ndogo za madiwani na so far mwelekeo wa matokeo haya ya Kalenga Tunapata sura gani ya outcome ya uchaguzi mkuu wa 2015?

    ReplyDelete
  3. Picha tunayoipata hapa kuelekea uchaguzi mkuu 2015 ni kuwa CCM watalemaa na kuona hawana upinzani,kumbe wembe utawanyowaaaaa.hahahaa

    ReplyDelete
  4. Yetu macho,tanzania yetu.....basi mkichaguliwa mfanye mliyo promise Manake hali ni mbaya huko vijijini

    ReplyDelete
  5. Hapo kwa uhambuzi wa kufuatilia trakimu zilizopo hapo ni kuwa Godfrey Mgimwandiye mshindi wa Kiti cha Ubunge!!!

    Hongera sana Mhe. G.Mgimwa !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...