Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kupokea kibali cha kuwa Mwakilishi wa Heshima wa Mauritius hapa nchini |
Katibu Mkuu, Bw. Haule akizungumza na Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John Haule akiagana na Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.Picha na Reginald Philip |
Ankal, hebu mshauri huyo Katibu Mkuu aondoe hiyo old type computer, aipeleke kwa wanafunzi wakajifunzie
ReplyDeleteAibu hiyo ni reflection yako tu!
ReplyDeleteKulilia vya usasa na hali sisi hatuzitengenez hizo komputa!
Kesho, watazindua nyingine. Je, utamshauri Katibu Mkuu huyo anunue?
Hongera sana Abbas,
ReplyDeleteDada M,
Hongera Sana Abbas.... Da Bim.
ReplyDelete