Mhe. Mutaza Mangungu mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya CCM akiongea na Vijimambo mchana wa Jumamtatu March 17, 2014 kutoka Dodoma na kuelezea faida ya Uraia pacha. Msikilize hapo chini
Home
Unlabelled
MSIKILIZE MBUNGE WA KILWA MHE. MUTAZA MANGUNGU AKICHAMBUA FAIDA ZA URAIA PACHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mh, Murtaza na Dj Luke Joe wameshindwa kusema kuwa Mtanzania anayeishi nje mwenye uraia mmoja wa Tanzania wana-fursa sasa na WaTanzania wanaoishi Tanzania.
ReplyDeleteLakini ukishapoteza vigezo kwa sheria za sasa hivi ambazo hairuhusiwi kuwa na uraia pacha kuna utaratibu wa kupata uraia wa ki-Tanzania kwa kufuata sharia zilizopo sasa hivi.
Hivyo hakuna mkanganyo wa uraia kama wana-diaspora watazisoma na kufahamu masharti na sheria za Tanzania.
Ni muhimu wana-diaspora kuacha kukwepa kwa makusudi taratibu za kupata uraia uwe ni mgeni au mtanzania aliye nje. Suala hili halihitaji uraia-pacha/ dual citizenship. Maana sheria zipo wazi za kitu gani wafuate ili wapate uraia wa Tanzania.
Mdau
Pasipoti Moja Tu
Muheshiwa Mutaza, nakupongeza kwa uelewa wako mkubwa wa hoja hii ya urai pacha. Ningeomba umsaidie mbunge wa diaspora kutusaidi kuwaelimisha wabunge wengine ambao wana uelewa hasi wa swala hili. Tusikubali Tanzania kuwa ya mwisho kwa kila kitu, nikama vile hatuwezi kufanya maamuzi yetu wenyewe bila kuangalia kwanza nani ameshafanya hivyo!
ReplyDeleteMdau wa Ng'ambo
Economy has got Opportunity costs and Sacrifice costs!
ReplyDeleteMheshimiwa Mangungu ndugu yetu umetoa FAIDA ZA URAIA PACHA je ni vipi mbona hujatoa HASARA ZA URAIA PACHA?
Watanzania wengi wa kawaida tu, tunafahamu sana ju ya pande zote MBILI ZA SARAFU:
Hivyo tunategemea wewe kama Mbunge utatoa kote kote na sio kuegemea upande mmoja tu wa FAIDA ukaacha kutoa HASARA.
Mh. Mangungu, heshima yako mkuu. Tupo pamoja. Mdau Chiberia.
ReplyDelete