| Bondia Roy Mbunda wa Ruvuma akifanyiwa vipimo na Dk Issa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya pambano litakalo fanyika jioni ya leo katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. |
| Bondia Alibaba Ramadhani wa Kilimanjaro akifanyiwa vipimo na Dk Issa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya pambano litakalo fanyika jioni ya leo katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. |
| Mwenyekiti wa chama cha ngumi mkoa wa Kilimanjaro Eliakunda Kipoko akizungumza na mabondia (hawapo pichani)mara baada ya kufanyiwa vipimo. |
| Bondia Alibaba Ramadhan(shoto) na Roy Mbunda(kulia)wakiwa na promota Andrew George mara baada ya kufanyiwa vipimo. |
| Mabondia wakiwa na Dokta Issa mara baada ya kumaliza kuwafanyia vipimo. |
| Mabondia wakiwa na viongozi wa chama cha ngumi mkoa wa Kilimanjaro (KBA) ,Eliakunda Kipoko(Mwenyekiti) na Shambe Sagafu (katibu) Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, kanda ya kaskazini, |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...