.jpg) |
Mwenyekiti wa kanuni za bunge maalum Mhe. Pandu Ameir kificho akiwasilisha mapendekezo ya kubadili kanuni leo asubuhi
Makamu M/kiti Mhe.Samia Suluhu akiendesha kikao cha bunge maalum leo baada ya siku nne za vikao vya kamati kumi na mbili zilizo undwa kufanya vikao vyao bila kumaliza kujadili kifungu cha kwanza na kifungu cha sita cha rasimu ya katiba mpya. Bunge limeahirishwa hadi alhamishi wiki hii kutoa fursa kwa kamati kuendelea na vikao. |
.jpg) |
Wabunge wakijadili mabadiliko ya kanuni leo baada ya siku nne za mijadala ndani ya kamati 12 za kujadili ibara ya kwanza na sita ya rasimu ya katiba |
Mwenyekiti wa kamati namba sita Mhe.Steven Wassira akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu kinachoendelea kwenye kamati yake
Mjadala ukiendelea. Picha zote na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...