Mshambuliaji wa timu ya Jamhuri Samir Said (kushoto) akiwania mpira wa juu na mchezaji wa timu ya Polisi Abdalla Mwalim katika mchezop wa Ligi kuu ya Grand Malta Zanzibar uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Aman, Zanzibar.Jamhuri ilishinda 1-0.
Winga wa timu ya Polisi Mohamed Mohamed (kushoto) akiwania mpira na beki wa timu ya Jamhuri Mohid Said katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malta Zanzibar uliochezwa kwenye Uwanja wa Aman juzi. Jamhuri ilishinda 1-0.
Mshambuliaji wa timu ya Polisi Abdalla Ali (katikati) akiwatoka mabeki wa timu ya Jamhuri katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, uliochezwa kwenye Uwanja wa Aman juzi. Jamhuri ilishinda 1-0.
Winga wa timu ya Jamhuri Hussein Said (kushoto) akiwania mpira na beki wa timu ya Polisi Mohamed Vual katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt uliochezwa kwenye Uwanja wa Amaani juzi. Jamhuri ilishinda bao 1-0.
Hi gemu imechezwa bila ya watazamaji nini? Wadau nini kifanyike kwa wapenzi wa soka waendelea kushabikia timu za nyumbani badala ya za nje pekee
ReplyDelete