Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyrembe Munasa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja la airtel jijini Arusha .Kushoto ni Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala.Hafla ya uzinduzi ilifanyika jana jijini Arusha.
Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala (kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyirembe Munasa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja jijini Arusha.Katikati ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba(wa pili kushoto) na Maneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette Matindi.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyrembe Munasa akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja la Airtel jijini Arusha .Kutoka kushoto ni Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala, Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba na Maneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette Matindi.
Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala ( wa pili kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyirembe Munasa(kushoto), Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba(kulia) na Maneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette Matindi wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja jijini Arusha.
Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania,tawi la jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara bada ya uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...