MAREHEMU EDWARD NGELE NTALIMA

Ni wiki, miezi, mwaka na sasa miaka tangu ulipoitwa na Mungu tarehe 24/05/ 2001. Daima tutakukumbuka kwa upendo wako, ucheshi na umoja uliotujengea katika siku za uhai wako. Unakumbukwa na watoto wako wapendwa George, Pricilla na Matty, mkweo Faustina, Kaka, Dada na wadogo zako, Wapwa, Binamu, wajukuu zako, Marafiki, Ndugu na Jamaa.

Ibada ya kumwombea Marehemu itafanyika Jumapili tar. 24/05/2014 katika Kanisa Katoliki La Mt. Maximillian Kolbe Mwenge; Ibada ya kwanza saa 12:30 Asubuhi, na Ibada ya Pili saa 01:45 Asubuhi.

“Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe”, Upumzike kwa Amani… Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...