Habari katika Picha:Viongozi na Watendaji wakuu wa Taasisi zinazounda Jukwaa la  Haki Jinai wakiwa katika Picha ya pamoja,mara baada ya ufunguzi wa  Mkutano wa siku mbili. Mkutano huo umefunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Uendeshaji wa Mashtaka (DPP) Dr E.Feleshi.Pamoja na mambo mengine mkutano huo utaangalia Haki za Watoto walio katika Mgongano na Sheria za Jinai.Walio kaa Kwenye viti,wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) John C Minja, wa pili kushoto ni Mkrugenzi wa Mashtaka (DPP) Dr.  E.Feleshi,wa tatuni IGP Ernesti Mangu. Mkutano huu unafanyika katika Hotel ya Millenium Sea Breeze Bagamoyo kwa siku mbili kuanzia tarehe 30 Mei, 2014.Na Mpiga Picha wa Magereza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...