Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia ( wa nne kutoka kulia) akiwa na baadhi ya wanariadha wa Mbio ndefu kutoka Tanzania waliowasili jijini Addis Ababa siku ya Alhamisi tarehe 1/5/2014, kwa ajili ya kufanya mazoezi ya nguvu ya kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika nchini Scotland mwezi wa Saba mwaka huu. Wizara ya Michezo ya Ethiopia imeamua kutoa makocha watatu ambao watasaidiana na kocha Shabaan Bayu katika kukinoa kikosi hicho. Aidha, mwanariadha mashuhuri wa Ethiopia Haile-mariam Gabresilas na ye amepangiwa kukutana na kikosi hicho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2014

    Fanyeni mazoezi mkitegemea zawadi ya juu kabisa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2014

    Wale wanariadha wa POLISI waliofanya vizuri ktk mashindano ya kikand kule nchini Namibia wamo pia?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...