Kutoka kulia waliosimama. 1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3 )2. Nassoro kalumbanya (simba str.) 3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.) 4. Mtoro Ally (Muhonda str.) 5. John Rupia (Misheni kota) 6. Julius Nyerere( Pugu Sekondari ) 7. Said Chaurembo (Congo/ Mkunguni str.) 8. Jumbe Tambaza( Upanga ) 9. Sheikh Suleiman Takadir (Mafia /Swahili) 10. Dossa Aziz ( Mbaruku /Somali kipande ) 11. Mshume Kiyate (Tandamti) 12. Juma Sultan (Kitchwele karibu na kanisa dogo ) 13. Maalim Shubeti (Masasi/ Likoma) 14. Rajab Simba ( kiungani str.) 15. Waziri Mtonga (Kilosa no. 18 , Ilala) 16. Mwinjuma Mwinyikambi ( Mwananyamala) 17. Maxi Mbwana ( Aggrey /Kongo ) 18. Usia Omari (Sungwi ,Kisarawe) 19. Sheh Issa Nasir ( Bagamoyo)
Home
Unlabelled
KUTOKA MAKTABA: WAZEE WALIOANZISHA VUGUVUGU LA KUSAKA UHURU TANGANYIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wengi sasa hawapo kujionea wenyewe tumefika wapi. Lakini jee, tumawakumbuka, tunawashukuru?
ReplyDeleteHivi Ni kweli Nyerere Kuna siku alifunga halafu akaskia kichwa kinauma akadai Panadol saa sits mchana?
ReplyDeleteMwenyezi Mungu atawalipa.
ReplyDeletembona ktk historia ya uhuru wa tanganyika anatajwa nyerere tu?
ReplyDeleteLAHAULA....AMA KWELI.......
ReplyDeletePicha ya mwaka gani mbona kina Mzee Sykes na wengine wengi hawamo?
ReplyDeleteVuguvugu ya Uhuru ilianza DSM je huko Tabora? Tanga? n.k vipi msaada tutani
Mdau
KijanaDotCom
SUB HANNA ALLAH, Inna lillah wainna illah rajiun.
ReplyDeleteMimi nahisi sasa, masomo ya siasa na historia, katika shule za msingi, Tanzania, zitende haki na kueleza ukweli. Bila ya hawa wazee na wengine kama Mzee Sykes, pasingekuwa na Nyerere (RIP na heshima zake). We have to stop 'whitewashing' our history and tell it like it is. Ahsanteni wazee wetu, waheshimiwa. Waliotangulia, Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi. Moja wapo hapo ni Babu yangu marehemu ambaye nampenda sana na kumshukuru kila siku katika sala zangu kwa mapenzi aliyokuwa nayo na nchi yake wakati wa uhai wake. Leo, our leaders just think of themselves and not the nation. Mungu inariki Tanzania. Nakupaneda kwa moyo wote.
ReplyDeletePongezi nyingi kwa wazee wetu kwa kujitoa mhanga kwa faida yako na yangu (Watanzania).
ReplyDeleteMapendekezo:
Waandishi wa mambo ya muhimu Kama haya Au inapotokea mtu anakumbana na habari muhimu Kama hii ai-qualify: pengine ingeandikwa 'Wazee walioanzisha vuguvugu la kudai Uluru wa Tanganyika kutoka Mikoa ya DSM na Pwani (Bagamoyo): ili kuepuka upotoshaji.
Historia ya kudai Uhuru wa Tanganyika hauwezi kukamilika bila kuwataja wale Wazee wa Mikoa yote walioshiriki bega kwa bega ndipo Uhuru ukapatikana!
Kufanya kinyume ni upotoshaji wa makusudi wa ukweli ambao wengi wetutuliosoma enzi za Nyerere (ambaye alikuja DSM akitokea Musoma) tunaufahamu.
Mungu Ibariki Tanzania.