Golikipa wa timu ya Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akikabidhiwa mkataba kutoka kwa  Mwanasheria wa NSSF, Chedrick Komba kuwa Balozi rasmi wa Shirika hilo katika Huduma Mbalimbali zitolewazo na NSSF.

Golikipa wa Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akisaini mkataba wa kuwa balozi wa NSSF katika huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori na Kulia ni Mwanasheria wa NSSF, Chieldric Komba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa magori ili uwe balozi wa nssf uwe na sifa gani

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu Kaseja pigo ni muhimu kwenye hizi events za kiprofessionally. Hata kasuti ka mtumba wangekufanya uonekane more professional na kuchukuliwa serious na makampuni mengine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...