Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (JUKATA), Deus Kibamba, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Jukwaa hilo Hezron Kaaya.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akizungumza na Viongozi wa Jukwaa la Wahariri (TEF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Picha na Owen Mwandumbya.
Uso kwa uso
ReplyDeletewenye uchungu na wazalendo wa nchi hii ndio watakaotuletea katiba, waliokimbia na kutoka nje wakipiga kelele za mbwa mwitu hawana uzalendo wanataka kutuvuruga tu na amani yetu
ReplyDelete