Nahodha wa Timu ya Ilala, Maisala Adam (kulia) akimiliki mpira
asinyang'anywe na mshabuliaji wa Kinondoni, Ibrahimu Chuli wakati wa
michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume
jijini Dar es Salaam jana. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.
Mchezaji wa Timu ya Ilala, Hussein Rashid (kulia) akipimana ubavu na
Beki wa Timu ya Kinondoni, Miraji Kwangaya wakati wa michuano ya Airtel
Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam
jana. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.
Mabeki wa Timu ya Kinondoni Fredy Mazuri (Kushoto) na Miraji Kwangaya
wakimzuia mshambuliajai wa Timu ya Ilala,Hussein Rashid wakati wa
michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume
jijini Dar es
Salaam jana. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.
Naodha wa Timu ya Kinondoni, Fredy Mazuri (aliyeanguka) akijaribu
kumzuia naodha wa Ilala,Shabani Ally (Aliyeruka) asipite wakati wa
michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume
jijini Dar es Salaam jana. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...