Huu utaratibu wa hawa waendesha pikipiki kutofuata taratibu katika mataa ya kuongozea magari na vyombo hivyo,umekuwa ukishika kasi siku hadi siku.hapa huyu mwendesha pikipiki akiwa na abiria wake wakijaribu kuikwepa basi iliyokuwa ikipita kwa kwenye mataa hayo baada kuruhusiwa,hali hii imekuwa ni kero kubwa hapa jijini Dar.hii imetokea mchana huu kwenye Mataa ya Buguruni Sheli.
Huyu nae bila kujali kuwa amewapakia abiria zaidi ya wawili nae kaingia barabarani kwa haraka zake na kuendelea na safari yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...