Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa tatu kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Daraja hilo linajengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wa nne kushoto ni Meneja Mradi ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi John Msemo. Picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
CCM DAR WATEMBELEA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI LINALOJENGWA NA NSSF
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Inaonekana daraja linakaribia kuisha, kazana mkandarasi hii ni hatua nzuri ya maendeleo ili watu waachane na vivuko vya pantoni.
ReplyDelete