Mwenyekiti wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasesela (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Karikoo la kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
Mkurugenzi wa Kampuni Resolution Insurance, Oscar Asir (kushoto) akiwaelekeza mandhali ya ofisi ya tawi jipya la ofisi hiyo iliyopo Lumumba Kariakoo,Mwenyekiti wa bodi wa kampuni hiyo, Richard Kasesela (kulia) na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
Mwenyekiti wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasesela(katikati), Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha wakikata keki kuashilia uzinduzi wa tawi jipya la kampuni hiyo lilipo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Resolution Insuarance wakiwa katika picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...