Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto)
akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba
inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa
Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta
akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe.
Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya
bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...