Home
Unlabelled
JESHI LA POLISI JIJINI DAR YALITAKA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA (BAWACHA) KUSITISHA KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI TAREHE 04/10/2014 KWENDA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukawa Please know that House Business is end!
ReplyDeleteNendeni mkawaulize wenzenu kule Scotland wamepiga Kura mweziuliopita na wapinga Muungano wamegwagwa bado ninyi tu Wapinga Muungano wa Tanzania!
Mlifikiri ninyi Ukawa Katiba haitapita kwa kususia Vikao Bungeni?
ReplyDeleteAaaa wapi!!
Chadema chukueni majembe mwende shamba mkalime bisahara ya Siasa imewashinda mmekaa nje ya Bunge mmesusa sasa Katiba imepita ndio sasa mnazinduka mnakurupuka mnawaingiza watu mkenge kuingia Mitaani kwa Maandamano haramu!
Mimi nadhani pamoja na onyo hilo CHADEAMA waendelee, yaani wapuuze onyo ila tu watakapoamua hivyo basi Halima Mdee na viongozi wengine wawe mstari wa usoni kwenye maandamano hayo. Vinginevyo sipo pamoja na unafiki unaoendelea kuoneshwa na viongozi wetu wa vyama vya upinzani.
ReplyDelete