Mhe Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'Shura Sheikh Abdullah Al Majaali aliempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat International Airport.
Mhe Spika akiwa na wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake.Wa kwanza Julia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Mhe Freeman Mbowe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge),Mhe William Lukuvi.Wa kwanza kushoto ni Mhe Ally Saleh Balozi wa Tanzania nchini Oman. Mhe Spika yuko katika ziara rasmi ya kibunge ya siku sita.
Mhe Spika Anne Makinda wakati akipokelewa uwanjani Mara baada ya kuwasili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Bimkubwa alivopendeza hapo

    ReplyDelete
  2. Hilo ndio vazi la heshima

    ReplyDelete
  3. Hao ndio watu waelewa. Ukienda kwa Warumi nawe kuwa Mrumi.

    ReplyDelete
  4. Mujaahid AlkindyOctober 19, 2014

    leo umevaa vazi la stara inayokaribiana na vazi la mwanamke wa kiislaam.
    Allah akujaalie uitambue haqqi na akupe nguvu ili uweze kuifuata na uitambue batili na akupe nguvu ili uweze kuiwacha.

    ReplyDelete
  5. Maa shaa Allah bi mkubwa kama avae hivyo kila siku. Sijaona anaechusha akivaa vazi hili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...