Waziri wa Mambo ya Ndani,Mhe. Mathias Chikawe (kulia) akiwa ameongozana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu (katikati) na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini,CGP John Minja wakati wakitoka katika ukumbi wa Bunge kujadili ripoti ya kamati ya Ulinzi na Usalama iliyowasilishwa Bungeni leo.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu (kulia) alijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto) nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani,Mhe. Mathias Chikawe.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Adam Malima akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu walipokutana nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani,Mhe. Mathias Chikawe.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...