Waziri Membe akielezea jambo mara baada ya Gavana kumaliza kutoa mada |
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy (katikati), akiwa pamoja na Mkurugenzi Idara ya Ulaya na Amerika, Balozi Joseph Sokoine na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi Mindi Kasiga wakati wa Semina hiyo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...