Na   Bashir  Yakub.
Wakopaji  nao  wana  haki  zao.  Yapo  mambo  ya  msingi  ambayo  wanapaswa  kuyajua    ili  yawalinde  iwapo  mambo  yamewaendea    vibaya.  Ukweli  ni  kuwa    ni  busara  unapokopa  kulipa deni    lakini    iwapo sababu   za  kibinadamu  zimejitokeza  ambazo  ziko  nje  ya uwezo  wa mkopaji  na  ambazo  kwa  namna  yoyote  hawezi  kuzizuia  basi   ni  vema  mkopaji  awe  na  njia ya  kujiokoa  yeye  pamoja  na  mali  yake.

 Uwepo  wa  sababu  za  kibinadamu  zinazoweza  kumzuia  mtu  kulipa  deni  ndizo    zilizopelekea  kuwapo  baadhi ya  mambo  katika  sheria ambayo    humlinda  mkopaji  pamoja  na  mali yake   ikiwa  ameshindwa  kulipa  mkopo  au  amechelewa  kwa  mujibu  wa  makubaliano.  
Si  kweli kuamini  kuwa  mtoa  mkopo   ndiye  mwenye  ulinzi  wa  sheria  peke  yake,   hapana  hata  mkopaji  naye  anao  ulinzi  wa  sheria  ikiwa  mambo  yatamwendea  vibaya  kama  tutakavyoona.  
Kwanza  tuangalie  sababu   za  kibinadamu  ambazo  zinaweza  kumfanya  mkopaji  ashindwe  kulipa   deni  kwa  wakati. Kusoma zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...