Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi (wapili toka kulia)i akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya alichotaja kuwa ni upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za  kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).Wengine ni baaadhi ya wanafamilia na rafiki wa chifu huyo mapaema hii leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...