Meneja
msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa
(PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani
utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF)
Kushoto
Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiliamali shamimu mwasha ambaye ni
mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni
walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo jokate
mwegelo.
Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF)kushoto Hadji Jamadary akiwa na balozi wa mfuko huo Flaviana Matata katika sherehe hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...