Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani,inatarajiwa kutingisha jukwaa la
maonyesho makubwa ya muziki na utamaduni barani ulaya 6th International African Festival in Tübingen, Ujerumani,bendi hiyo maarufu inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja itapanda jukwaani siku ya Jumamosi 27 Julai 2015 majira saa 2.00 Usiku katika
uwanja wa Festplatz,Europa str,mjini Tübingen ,uliopo Ujerumani ya Kusini.
Kikosi kazi hiko cha Ngoma Africa Band ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki au FFU,chenye utajiri wa wanamuziki vijana waliojaa vipaji, bendi inasadikiwa kuwanasa
washabiki kila kona duniani kutokana na mdundo wake "Bongo Dansi" made in Uswahilini. bendi hiyo kwa sasa inatamba na CD mpya ya " La Mgambo" yenye nyimbo mbili za kumuaga rais JK.
Usikose kuwasikiliza at www.reverbnation.com/ ngomaafricaband au watupie jicho at
Gwaride jukwaani
Nyomi ya kufa mtu
Ngoma Afrika band aka ffu-ughaibuni kabla lao Shetani wekundu kutoka uswahilini na mzuka wao wa muziki unasumbua vichwa uzunguni
ReplyDeleteWatoto watukutu ffu-ughaibuni au watoto wa mbwa chini ya kamanda mkuu ras makunja bin majunun mzee wa kukata funua
ReplyDeleteKamanda mkuu nakukubali chini yako kikosi lazima kitembeze gwaride la kufa mtu
ReplyDelete