
Nature amesema kuwa mziki ambao anaufanya ni Biashara lakini pia anafanya kwa ajili ya Jamii yake ambayo inamzuuka na pia anaangalia sehem ambayo anakubalika ivyo akiitwa sehem yeyote kufanya kazi anaenda anafanya kazi maana mziki ndio ajira yake. Sikilize hapa Juma Nature akiongea.......

ReplyDeleteWakikuletea pesa zao we chukua ... lakini baki njia kuu (CCM)
Asante Sir Nature
Tembelea blog yangu http://mwenyekitiwamuda.blogspot.com/