Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ijumaa usiku alijikuta anapigwa butwaa baada ya kurudi nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam na kukuta bango hilo mbele yake ambapo watoto na wajukuu wake walikuwa wamemuandalia sherehe ya kuzaliwa kwake ya miaka 75 (suprise Birthday Party) bila ya yeye mwenyewe kujua
Jaji Warioba na mkewe walijikuta wanashangaa zaidi kukuta kumbe watoto na wajukuu sio tu wameandaa Birthday party yake bali pia sala maalumu ya kushukuru kwa kufikisha miaka 75 akiwa buheri wa afya
Jaji Warioba akiwa na marafiki wake wa karibu walioaloikwa kwenye hafla hiyo. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Paul Rupia akifuatiwa na mama Janeth Kahama na mumewe Sir George Kahama
Jaji Warioba akikata keki akiwa amezungukwa na wajukuu
Jaji Warioba akilishwa keki na mkewe
Jaji Warioba akimlisha keki mkewe
Jaji Warioba akiongea katika hafla hiyo ya kustukiza
Jaji Warioba akiendelea kuongea
Jaji Warioba na mkewe na wajukuu wao
Jaji Warioba na mkewe wakiwa na watoto na wenza wa watoto wao
Happy birthday mzee Warioba! Respect!!
ReplyDeleteHappy Birthday Mzee Warioba na Mungu akuzidishie maisha mingi yenye afya na amani tele.
ReplyDeleteHii ni baraka Mungu akuongezee miaka zaidi ya hiyo.
ReplyDeleteMzee Joseph Sinde warioba, Mungu azidi kukulinda na familia yako!
ReplyDeleteKutoka kwa "Mtu ni Afya" (CHEKA)