Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya na wazamani. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).
Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).
Mpiganaji wa Daily News na Mdau wa Blog hii, Abdulwakil Saiboko (kulia) ambaye pia ni mwanafunzi huko Wuhan akiwa kwenye pozi na mwanafunzi mwenzake, Dr Rama kwenye hafla hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...