Mchezaji wa Simba Hamis Kiiza(kushoto)akiwaonesha mashabiki wa timu yake mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- aliyokadhiwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia)ambao ni wadhamini wakuu wa lihi hiyo kwa kuibuka mchezaji bora wa ligi wa mwezi septemba wakati wa mechi ya timu hiyo na Majimaji iliyochezwa mwishoni mwa wiki ambapo timu yake ilishinda 6-1.Wengine katika picha wapili toka kushoto ni Meneja biashara wa TFF,Peter Simon na Ofisa Udhamini na Matukio wa kampuni hiyo,Ibrahim Kaude.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia)akimkabidhi Mchezaji wa Simba,Hamis Kiiza(kushoto) mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- kwa kuibuka mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara wa mwezi septemba wakati wa mechi ya timu yake na Majimaji iliyochezwa mwishoni mwa wiki ambapo timu yake ilishinda 6-1.Wengine katika picha wapili toka kushoto ni Meneja biashara wa TFF,Peter Simon na Ofisa Udhamini na Matukio wa kampuni hiyo,Ibrahim Kaude.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...