Ligi ya La liga ya Italia imeendelea weekend hii huku timu ya Real Madrid ikinyuka mtu goli 3 kwa 1 na kuendelea kukaa kileleni. https://youtu.be/TIk-rLmnvqQ
Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila dhidi ya Kagera Sugar huko Tabora. https://youtu.be/2xT90QEpaZc
Klabu ya Simba imefanikiwa kuishushia kipigo cha mbwa mwizi klabu ya Majimaji ya Songea baada ya kuibuka kwa ushindi wa goli 4 kwa O. https://youtu.be/IlirdYJ8txM
Klabu ya Liverpool imefanikiwa kumtundika Chelsea nyumbani kwake kwa ushindi wa goli 3 kwa moja na kumuacha mourinho mdomo wazi. https://youtu.be/jyHVm75cHgw
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...