SIMU.TV: Algeria yavunja kamati ya Taifa Stars. Beki Simba avamiwa na majambazi Dar. Wasauzi wailiza Yanga;https://youtu.be/QoMONN8LKNo
SIMU.TV: Rais Dr.Shein atambia tuzo ya Sheria ya watoto. Zanzibar mambo shwari. Viongozi wa dini ya Kiislam wamfagilia Rais Magufuli; https://youtu.be/aWKFXGY9_3M
SIMU.TV: UKAWA kidedea, mahakama yaamuru mwili wa Mawazo uagwe. Sherehe 30 mikononi mwa Rais Magufuli. Rungu lawashukia trafiki wa Dar.https://youtu.be/33W8K8LAeJQ
SIMU.TV: Kamati iliyoundwa kuisaidia Taifa Star Kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 imevunjwa Rasmi.https://youtu.be/ngvoGJhmnDA
SIMU.TV: Pata habari za kina zilizotawala magazeti ya leo Ijumaa 27.Novemba 2015 hapa Simu.tv;https://youtu.be/gOynz76Pacc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...