Gwajima ageuka nguzo ya chumvi, Polisi yasema serikali ya Zanzibar bado ipo yawataka wananchi kuacha kusikiliza uvumi mitandaoni; https://youtu.be/B5RJMxqLmoM
Azam FC yaua, yarudi kileleni. Pluijm aandaa utatu hatari Yanga.Kerr akingiwa kifua kila kona. Haya yote utayapata katika magazeti ya leo; https://youtu.be/IuJ4uNambBk
Kippi amkomalia Mdee, Nyalandu asema tumeangusha mbuyu wa ujangili nchini. Pata habari za kina zilizotawala magazeti ya leo; https://youtu.be/8MuTBSao0jU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...