Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel akizungumza wakati wa mkutano baina yake na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin (kushoto) leo jijini Dar es Salaam. Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bibi. Zamaradi Kawawa (kulia) akifafanua jambo wakati wa Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin alipokutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (katikati) leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel akikabidhiwa barua ya mwaliko wa kutembelea nchini China mwezi June mwaka huu, wakati wa mkutano baina yake na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin (kushoto) leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...