Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Kikwete akizungumza na kumpongeza Nyota wa Soka Tanzania, aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana Samatta (kushoto), alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kutana na mchezaji huyo leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo.Kulia ni Waziri Nape.

JK na Samatta wakitoka ukumbini.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Ni dhahiri kabisa mzee wetu JK katoa mchango mkubwa sana kwa nyota huyu na mwenzake Ulimwengu. Aliwahi kuwatembelea pale Lubumbashi,TP Mzembe.
ReplyDelete