Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni inawatakieni heri ya kuazimisha miaka 52 ya mapinduzi ya Zanzibar,Mapinduzi yaliyofanyika 12 January 1964 ambayo yaliwakomboa wananchi wanyonge wazanzibar walikuwa chini ya utawala wa Kisultan,Mapinduzi hayo ya tarehe 12 January 1964 yaliyomfanya Sultan kuikimbia Zanzibar na kusahau kiremba kitandani.
Mungu yabariki Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Mungu wabariki Wanzibari na kudumisha amani na upendo daima, Mungu ibariki Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tusherehekee Mapinduzi day kwa burudani ya www.ngoma-africa.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...