Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dr Kamugisha Kazaura (Kushoto) akielezea kuhusu mipango ya kampuni mbele ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora (Katikati) na Naibu Katibu Mkuu Dr Mary Sassabo (Kulia) walipotembelea kampuni hiyo. Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dr Kamugisha Kazaura (Kushoto) akielezea kuhusu mipango ya kampuni mbele ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora (Katikati) na Naibu Katibu Mkuu Dr Mary Sassabo (Kulia) walipotembelea kampuni hiyo.Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora  na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Mary Sassabo wakiwa katika kikao na wafanyakazi wa TTCL. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Mary Sassabo wakiwa katika kikao na wafanyakazi wa TTCL.Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora  na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Mary Sassabo wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TTCL pamoja na baadhi ya maofisa kutoka wizara hiyo. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Mary Sassabo wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TTCL pamoja na baadhi ya maofisa kutoka wizara hiyo.
Baadhi ya maofisa wa TTCL wakitoa maelezo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu mawasiliano kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora na Naibu Katibu Mkuu wake, Dk. Mary Sassabo walipotembelea ofisi za TTCL Dar es Salaam. Baadhi ya maofisa wa TTCL wakitoa maelezo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu mawasiliano kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora na Naibu Katibu Mkuu wake, Dk. Mary Sassabo walipotembelea ofisi za TTCL Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...