Ofisa wa Mizani wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kutoka Mkoa wa Iringa akitoa mada katika
mafunzo ya namna ya kutumia mizani za kisasa Weigh in Motion ili kudhibiti magari yanayozidisha uzito Mkoani
Morogoro.
. Magari yaliyokamatwa baada ya kuzidisha uzito
yakiwa yamezuiliwa katika Mizani ya Vigwaza kwa hatua zaidi za kisheria.
Eng.
Japhet Kivuyo kutoka (TANROADS) Makao makuu akifafanua jambo katika mafunzo ya
namna ya kutumia mizani za kisasa Weigh
in Motion ili kudhibiti magari yanayozidisha uzito Mkoani Morogoro,Kulia ni
Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira Wizara ya Ujenzi Eng.Julius Chambo na
kushoto ni Mkurugenzi msaidizi wa Usalama na Mazingira Eng.Joyce Mbunju.
Mkurugenzi
wa Usalama na Mazingira Wizara ya Ujenzi Eng.Julius Chambo (Wakwanza Kulia)
akifafanua mada katika mafunzo ya namna ya kutumia mizani za kisasa Weigh in Motion ili kudhibiti magari
yanayozidisha uzito Mkoani Morogoro.
Mashine
inayoonyesha uzito wa magari yakiwa yanapimwa katika Mizani ya Static
Weighbridge katika Mizani mpya ya Vigwaza Mkoani Pwani ambayo huondoa
malalamiko ya gari kuzidishiwa uzito.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...