Home
Unlabelled
MBWANA ALLY SAMATTA ALIPOTAMBULISHWA KLABU YA KRC GENK YA UBELGIJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Well done kid, na kizungu si haba, lakini sasa una hela basi attend tuition to learn Kizungu
ReplyDeleteKizungu hakicheZi mpira, well done dogo
ReplyDeleteHongera sana Mbwana Ally SAMATTA kwa hatuwa hiyo uliyofikia. Pia nakubaliana na maoni ya mdau wa mwanzo hapo juu kuhusiana na lugha, hivyo kama muda pia utaruhusu na Kizungu nacho kipigepige msasa. In Sha Allah na MOLA atakuongoza kila palipo pema.
ReplyDeletewewe huko bekgium wanaongrea ki flemish
ReplyDeleteUtake usitake ,Kizungu (aka Inglishi) ndo lugha kuu ya mawasiliano na biashara duniani,hivyo inasaidia kidogo ukiweza kukimudu. Belgium wanatumia lugha kuu tatu, French, Dutch & German. Pengine kijana alijifunza kifaransa alipokuwa TP Mazembe. All in all, we wish him well and success, aipeperushe bendera ya Tanzania kwenye kandanda huku mamtoni.
ReplyDeleteKizungu cha nini!
ReplyDeleteDogo wewe cheza mpira tuu hayo mengine ya tution za Kizungu achana nayo.
Unaweza kusajiliwa hata china Leo au Germany.
Sasa watasemaje?
We we jitahidi kwenye kazi yako tuu
He said he is a striker.
ReplyDeleteKulikuwa na msela mmoja miaka ya themanini alikuwa akiishi keko mwanga/Toroli, kila akiulizwa umri wake anasema mimi na miaka "sate", baada ya miaka kadhaa mashabiki wa timu ya "magutu" na "mbwa mwitu", waka muhoji "sate", wewe kila mwaka unasema una miaka "sate", wewe huzeeki? akajibu basi isiwe tabu toka leo umri wangu ni "sate-slii".
ReplyDeleteHongera sana kijana Mbwana.
I wish you all the best my brother in that journey, work so hard talent like that needs a lot of practices and hard work, stay in the gym more that any other place. don't be like that basket player because at the end of the day is all about you, and don't chase praises if you accomplish your goals praises will follow you for your entire life.
ReplyDeleteHongera sana Bwana Samata ,mafanikio yako yakafunguwe nyia kwa wanamichezo wengine wengi wazuri kuweza kusajiriwa na clabu zenye mafanikio ya kimchezo na kipato,na pia kwa upande wa wadau wa michezo ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha kuwa tunazalisha wakina Mbwana Samata kwa kila mchezo ili tuweze kugeuza michezo kuwa UCHUMI ,kwa upande wa Serikali ni vyema ikaweka madhingira ya kuifanya michezo kufanyika na tena kufanyika kwa mafanikio makubwa!!
ReplyDelete