Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bi Shakila, hongera sana, yaani sauti bado safi saaana, na kweli mambo bongo fleva "mikurupoko" tu.

    ReplyDelete
  2. Masha Allah Bi Shakila, kwa kweli Mwenyeez Mungu kakujaaliya kwa kila kitu katika uumbaji wake (nikimaanisha kuanzia sauti, kipaji cha kutunga na kuimba, taswira yako kwa jumla na hata unavyojiwakilisha penye hadhira ya watu, vyote hivyo Masha Allah) . Binafsi ni shabik sana wa nyimbo zako tangu ile ya 'Viva Frelimo' uliyowahi kuimba enzi hizoooo! kama sjasahau ningali nakumbuka beti ya mwanzo mawili matatu ilikuwa ikisema...
    Leo twamvika taji, mpendwa ndugu Samora,
    Kukombowa Msumbiji, si jambo la masikhara,
    Na Mreno kafa maji, hivi sasa kadorora.....then kinakuja kibwagizo....Vivaaaa Frelimooo, Vivaaaa Samoraaaa...Vivaaaa Msumbiji..." na mpaka kesho niipendayo zaidi ni hicho hicho 'Kifo Cha Mahaba'.

    Kadhalika mahojiano na the way ulivyokuwa ukijibu na kuelezea, swadakta! Khususan ulipobainishia taarab asilia na hiyo iloibuka sasa 'Taradansa'. Pia nakuombea kila la kheri na ufanisi mwema wa kazi zako zote. Na Insha Allah Mwenyeez Mungu atakujaaliya ufanikishe dhamira yako ya kuja kuimba na Diamond Platnumz kadhalika kupewa fursa ya kuweza kuonana na Mh.Rais wetu wa awamu ya Tano John Pombe Josseph MAGUFULI (Mzee wa HapaKaziTu). Pongezi za dhati kwa wote waliohusika kuandaa mahojiano haya kupitia hii Danga Chee.

    ReplyDelete
  3. Natafuta rafiki wa kalamu, Shamsa vipi? tabasamu lako linamtoa msela nondo pangoni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...