Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu akizungumza na
Wajumbe wa Mkutano wa Utaratibu wa Upangaji Taarifa (Clearing House Mechanism) kuhusu
Viumbe Hai, wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya
Utafiti wa Dawa (NIMR), jijini Dar es salaam leo. (Picha na OMR).
Sehemu ya Washiriki wa Mkutano wa Utaratibu wa Upangaji Taarifa (Clearing House
Mechanism) kuhusu Viumbe Hai, wakimsikiliza kwa makini mtoa mada wa Mkutano huo,
Bwana Maskati Maliwanga (hayupo pichani).

Washiriki katika Mkutano wa Utratibu Upangaji Taarifa (Clearing House Mechanism) kuhusu
Viumbe Hai wakiwa katika picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...