Nyumba ikiungua moto kwa kile kilichatajwa kuwa ni hitilafu ya umeme  eneo la Kiponda, Unguja, Zanzibar juzi usiku.Hakuna mtu aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo ya moto. (PICHA NA MARTINE KABEMBA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. na zilivyo karibu karibu na zilivyo za zamani mbao zake kavuuu hivyo mtoto unakuwa kama wa petrol.

    POLENI WENZETU...Natumai gari la zima moto liliwahi japo kidogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...