Waziri Mstafu Profesa Mark Mwandosya akitoa  Mhadhara Chuo Kikuu Cha Ulinzi (National Defense College) jijini Dar es salaam. Mada ilihusu  changamoto za kiulinzi na usalama zinazotokana ushirikiano katika mabonde ya kimataifa ya majishirikishi. Waliohudhuria ni maafisa wa ngazi za kati na juu wa vyombo vya ulinzi na usalama, na wanafunzi wengine wa Chuo hicho kutoka Kenya, China, Namibia na Malawi.
 Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya akiagana na wakufunzi wakuu baada ya kutoa mhadhara huo. Kutoka  kulia ni Meja Jenerali Omar; Mrs Lucy Mwandosya; Profesa Mwandosya, na Brigadia Mwaseba.
Mwisho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...