Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Balozi wa Israeli nchini Mhe Yahel Vilan alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 19, 2016.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Israeli nchini Mhe Yahel Vilan alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 19, 2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...