Image result for ARDHI  YA  KIJIJI
Na Bashir Yakub
Ili  uweze  kupewa ardhi  na kutambuliwa  kama  mmiliki Tanzania zipo  sifa  ambazo  unatakiwa  kuwa nazo. Si  kila  mtu  anaweza  kupewa  ardhi  ya  kumiliki.  Sifa  hizo  zinatofautiana  na  wakati  mwingine  kufanana  kutokana  na aina  ya  ardhi  inayoombwa  na  mtu husika. 
Kuomba  kumilikishwa  ardhi  ni  hatua  ambayo  huchukuliwa  na  mtu   anapohitaji  kupata  hati.  Nasema  hivi   kwa  maana  ya  kuwa    kuna  watu  wana  ardhi  lakini  hawana  hati  za  umiliki.  Hawa  kisheria  hatuwezi kusema  wamemilikishwa  ardhi.  Aliyemilikishwa  ardhi  ni  yule  aliye  na  hati  ya  umiliki. Kusoma zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...