Picha ya msichana huyo kwenye moja ya vitambulisho vyake.
Mkoba wa mtu anayetambulika kwa jina la Edda J Mushi, umeokotwa maeneo ya Kota za Jeshi, Mtaa wa Nzasa, Mwenge jijijni Dar es salaam ambapo ndani yake kuna kadi ya benki ya CRDB na NMB, Kitambulisho cha kupigia kura, Kitambulisho cha NHIF huku kukiwa na kipochi kidogo.
Yeyote anayemfahamu binti huyu anaombwa ampe taarifa au apige simu kwenda namba 0683214128.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...